Friday, April 21, 2023

Mkurugenzi wa Idara ya Malalamiko na Uchunguzi, Bi. Suzana Ndeona akieleza majukumu ya idara yake kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge - Utawala, Katiba na Sheria wakati wa kikao kilichofanyika bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2023.

No comments:

Post a Comment