Saturday, October 14, 2023

Kikao cha wadau wa Biashara na uwekezaji kuhusu Haki za binadamu na biashara

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Bi.Mary Makondo akitoa hotuba ya ufunguzi wa kikao cha Uwasilishaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Biashara na Haki za Binadamu kilichofanyika hoteli ya Four Points, jijini Dar es Salaam Oktoba12, 2023. Kikao hicho cha siku moja kiliwahusisha Wadau wa Biashara na Uwekezaji wa kibiashara, viongozi wa Serikali na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe.Mathew Mwaimu (JajiMstaafu)akizungumza wakati wa kikao cha Uwasilishaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Biashara na Haki za Binadamu kilichofanyika hoteli ya FourPoints,jijini Dar es Salaam Oktoba12, 2023. Kikao hicho cha siku moja kiliwahusisha Wadau wa Biashara na Uwekezaji wa kibiashara, viongozi wa Serikali na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bwana Patience Ntwina akitoa muhtasari wa vikao vilivyofanyika awali kwaajili ya kupokea maoni kuhusuuandaaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Biashara na Haki zaBinadamu wakati wa kikao kilichowahusisha Wadau wa Biashara na Uwekezaji wakibiashara kilichofanyika Oktoba12,2023 hoteli ya Four Pointsjijini Dar es Salaam.
Oktoba 12, 2023, Hoteli ya Four Points, jijini Dar es Salaam: Afisa Uchunguzi Mkuu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bwana PhilemonThomas akiwaeleza Washiriki wa kikao cha Wadau wa Biashara na Uwekezaji wa kibiashara mfano bora kutoka nchi mbalimbali ambapo Tanzania imejifunza masuala ya uandaaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Biashara na Haki za Binadamu.
Afisa Uchunguzi Mkuu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bwana Constantine Mugusi akiongoza mjadala kuhusukutambua masuala muhimu ya kisekta yatakayohusishwa katika Mpango Kazi wa Kitaifa wa Biashara na Haki za Binadamu wakati wa kikao cha Wadau wa Biashara na Uwekezaji wa kibiashara kilichofanyika Oktoba 12,2023 hoteli ya Four Points  jijini  Dar es Salaam.
Oktoba 12, 2023, Hoteli ya Four Points, jijini Dar es Salaam: Afisa Uchunguzi Mkuu na Mratibu wa Miradi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bi.Jovina Muchunguzi akiwaeleza Washiriki wa kikao cha Wadau wa Biashara na Uwekezaji wa kibiashara hatua zauandaaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Biashara na Haki za Binadamu.
Wadau wa Biashara na Uwekezaji wakifuatilia mada wakati wa kikao cha Uwasilishaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Biashara na Haki za Binadamu kilichofanyikahoteli ya Four Points jijini Dar es Salaam, Oktoba 12,2023.
Mshiriki wa kikao cha Wadau wa Biashara na Haki za Binadamu, Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya East Africa Crude Oil Ltd., Bi. Nathalie akieleza namna kampuni yao inavyozingatia masuala ya haki za binadamu katika utekelezaji washughulizao, hoteli ya Four Pointsjijini Dar es Salaam, Oktoba 12, 2023.
Oktoba 12, 2023, Hoteli ya Four Points, jijini Dar es Salaam: Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi.Mary Makondo(katikati)na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora wa Serikali ya Zanzibar, Bi.Mansura Kassim (wa kwanza kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, wakiongozwa naMwenyekiti waTume, Mhe. Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (wa kwanza kushoto).
Mkurugenzi wa Utafiti, Mipango na Mifumo ya Taarifa wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania Mafutaha Bunini akieleza changamoto nafursa za uwekezaji wakati wa kikao cha Wadau wa Biashara na Uwekezaji cha Uwasilishaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Biashara na Haki za Binadamu kilichofanyika hoteli ya Four Points jijini Dar es Salaam, Oktoba12,2023.

No comments:

Post a Comment