Friday, April 5, 2024
Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB),Bwana Gabriel Robi akitoa hotuba ya ufunguzi wa mafunzo elekezi kwa Watumishi wapya katika utumishi wa umma kutoka THBUB,Uongozi Institute,Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Mfuko wa Pembejeo, yaliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)jijini Dodoma, Aprili 3, 2024.
Mkurugenzi Msaidizi kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora anayeshughulika masuala ya Utawala, Bibi Portacia Benito akimkaribisha Mgeni Rasmi kufungua mafunzo elekezi kwa Watumishi wapya katika utumishi wa umma kutoka THBUB,Uongozi Institute,Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Mfuko wa Pembejeo, yaliyofanyika ukumbi wa mikutano wa TBA jijini Dodoma, Aprili 3, 2024.Mkufunzi kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma,Bwana Maurice Nchimbi akitoa mada kuhusu Muundo wa Serikali na namna inavyoendesha shughuli zake wakati wa mafunzo elekezi kwa Watumishi wapya katika utumishi wa umma kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora,Uongozi Institute,Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Mfuko wa Pembejeo, yaliyofanyika ukumbi wa mikutano wa TBA jijini Dodoma, Aprili 3, 2024.Mkufunzi kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma,Bwana Charles Magaya akitoa mada kuhusu Utunzaji wa Kumbukumbu na Misingi ya Utendaji Kazi katika Utumishi wa Umma wakati wa mafunzo elekezi kwa Watumishi wapya katika utumishi wa umma kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora,Uongozi Institute,Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Mfuko wa Pembejeo, yaliyofanyika ukumbi wa mikutano wa TBA jijini Dodoma, Aprili 3, 2024.Watumishi wapya kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora,Mfuko wa Pembejeo,Uongozi Institute na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi,wakiwa katika mafunzo elekezi ukumbi wa mikutano wa TBA jijini Dodoma, Aprili 3, 2024.
No comments:
Post a Comment