Monday, April 4, 2022

Hafla ya Uzinduzi wa Magari mapya ya Tume

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Geophrey Pinda akizungumza wakati hafla fupi ya uzinduzi wa magari mapya ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Machi 29,2022. Hafla hiyo ilifanyika Makao Makuu ya Ofisi za Tume, Kilimani Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe.Mathew Mwaimu (Jaji Mstaafu) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Tume kwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria wakati waghafla fupi ya uzinduzi wa magari mapya ya Tume. Hafla hiyo ilifanyika Makao Makuu ya Ofisi za Tume, Kilimani Jijini DodomaMachi 29,2022.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Geophrey Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari mapya ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Uzinduzi huo ulifanyikaMakao Makuu ya Ofisi za Tume, Kilimani Jijini Dodoma

No comments:

Post a Comment