Wednesday, March 15, 2023

Kamishna Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mhe.Amina T Ali (Kushoto) ameambatana na baadhi ya watumishi wanawake wa Tume wakikabidhi zawadi za Watoto yatima katika kituo cha watoto yatima cha Alhaafidhu Islamic Center kilichopo Wilaya ya Kondoa Machi 7,2023.

No comments:

Post a Comment