Friday, April 21, 2023

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Mathew Mwaimu akiwasilisha taarifa kuhusu majukumu ya kiutendaji ya Tume kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge - Utawala, Katiba na Sheria Aprili 14, 2023 bungeni jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment