Saturday, May 1, 2021

Watumishi wa THBUB washiriki maadhimisho ya Mei Mosi 2021 Jijini Dodoma

Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Amina Talib Ally (wa tatu kulia) aliwaongoza Watumishi wa Tume katika maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) 2021. Maandamano hayo yalianzia Viwanja vya Bunge na kuhitimishwa uwanja wa Jamhuri. Pichani Mhe. Amina na watumishi wa Tume wakiwa nje ya lango la uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma wakisubiri muda wa kuingia uwanjani.
Waandamanaji kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora wakiwa wameingia ndani ya uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo (Mei 1, 2021).
Waandamanaji kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora wakizunguka uwanja kuelekea jukwaa kuu uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo (Mei 1, 2021).
Waandamanaji kutoka THBUB wakiwa na bango lao wakipita mbele ya jukwaa kuu wakati wa maandimisho wa Siku ya Wafanyakazi Duniani uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo (Mei 1, 2021).
Waandamanaji kutoka THBUB wakiwa na bango lao wakipita mbele ya jukwaa kuu wakati wa maandimisho wa Siku ya Wafanyakazi Duniani uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo (Mei 1, 2021).
Baadhi ya watumishi wa THBUB wakiwa uwanjani Jamhuri, jijini Dodoma Siku ya Mei Mosi.
Baadhi ya Watumishi wa THBUB walioshiriki Sherehe za Mei Mosi wakiwa katika picha ya pamoja uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo Mei 1, 2021.(Picha zote na Suzan Ndashuka)

No comments:

Post a Comment